Matokeo Lindi mjini CUF wanaongoza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo Lindi mjini CUF wanaongoza

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Lucchese DeCavalcante, Nov 1, 2010.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Chama cha CUF kinaongoza Lindi mjini mgombea wa CUF ni melemavu wa ngozi na wa CCM ni Abdulazizi amabaye ni mkuu wa mkoa wa Lindi pia, matokeo ya udiwani CUF kata 5 CCM kata 8, bado kata 5
   
 2. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  mkuu umenichanganya kabisaaaaaaaaa!! Content haireflect subject yako, na mkuu wa mkoa wa lindi sio yule mwarabu????
   
Loading...