MATOKEO KIDATO CHA PILI. nusu wafeli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MATOKEO KIDATO CHA PILI. nusu wafeli

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kanyigo, Feb 3, 2012.

 1. K

  Kanyigo JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  matokeo yametangazwa
  nusu ya wanafunzi waliofanya mtiani huo wamefili walikua laki 4 wamefeli laki 2
  source: magazeti ya leo.
   
 2. K

  Kanyigo JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  sijui hawa wa kidato cha nne itakuaje jamani.dah!
   
 3. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  kwahiyo wanarudia kidato cha pili....walimu wanamgomo
   
 4. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,079
  Trophy Points: 280
  ndo athari za mgomo wa kmya kwa kmya! mpaka leo walimu wapo kwenye mgomo. na bado mambo yataendelea kuwa mabaya, serikali walipeni haki zao la sivyo nchi itendelea kuwa ya wajinga! sasa ndo tunaelekea kwa madaktari tusubili zahama ya vifo utakapoanza mgomo wa kmya kwa kmya wa madaktari kama hawatalipwa haki zao wakati wabunge wanajiongezea posho zisizo na tija!
   
 5. S

  Samkyjr JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wizara mbovu kuliko zote matokeo wanatoa leo walioferi wanarudi nyumbani au wanarudia kidato cha kwanza?
   
 6. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #6
  Feb 3, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,829
  Trophy Points: 280
  Kila mahali kumeoza, toka juu mpaka chini
   
 7. K

  Kanyigo JF-Expert Member

  #7
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  kumbe mgomo wa walimu ni mbaya sana ingawa athali zake si za mojakwamoja.
   
 8. K

  Kanyigo JF-Expert Member

  #8
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  serikali haioni hasara wao kurudi nyumbani wa kwao wako ulaya.
   
 9. K

  Kanyigo JF-Expert Member

  #9
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  labda ule utaratibu wa kurudia utawaokoa..
   
 10. K

  Kanyigo JF-Expert Member

  #10
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  bora hawa wana fulsa ya kurudia vipi form four wakifeli nusu..ndugu zangu hali ni mbaya nchini.
  Ajila hakuna na watu wanafeli hovyo.
   
 11. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #11
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,971
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  na bado unafundisha wanafunzi 100 darasa moja kati ya hao 20 wamekaa chini afu kuna vitabu 3 tu, hata mimi mwalimu wanafunzi wakifaulu nashangaa.... Unategemea ntasihisha madaftari zaidi ya 200 kwa mshahara huu, tena na red pen nijinunulie! Kwa mshahara upi
   
 12. K

  Kanyigo JF-Expert Member

  #12
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  walimu wanakazi kwakweli..
   
 13. M

  Mwl wa Civics Member

  #13
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo wanafunzi walikuwa kwenye mgomo wa kusoma kwa kuwa walijuwa kuwa wao ni bora liende yaani free to form three.
   
Loading...