Hii yaweza kuwa moja ya sababu. Katika juhudi za kuunga mkono wanaotawala, maeneo haya wanafunzi na waalimu huwa hawakai madarasani. Kila shughuli ya kichama hulazimishwa kushiriki kwa nguvu, iwe mkutano wa balozi wapi, awe m/kiti wa Kijiji wamo, iwe diwani wamo, mbunge, mnec na hata yule was taifa. Shule sio kipauo mbele bali ushindi wa kishindo wa chama chetu. Hiyo mikoa mingine ni kichwa ngumu, hawasikii hili wala lile katika kuunga juhudi, matokeo yake ndo haya, kuwa viherehere wa kuwa wa kwanza kwenye mitihani ya kitaifa.Evidence: Kwanini mikoa inayofanya vibaya kwenye elimu ndiyo inayopendwa na CCM?
---------------------------------
Mikoa 10 iliyofanya vizuri zaidi katika mtihani wa kidato cha pili 2018;
Arusha - Chadema
Njombe - CCM/Chadema
Iringa - Chadema
Mbeya - Chadema
Kigoma - ACT-Wazalendo
Kilimanjaro - Chadema
Kagera - Chadema
Manyara - Chadema
Shinyanga - CCM/Chadema
Mwanza - Chadema/CCM
Mikoa 10 iliyofanya vibaya zaidi matokeo ya kidato cha pili 2018.
Lindi - CCM
Mtwara - CCM/CUF
Mara - CCM
Ruvuma - CCM
Tanga - CCM
Katavi - CCM
Tabora - CCM
Rukwa - CCM
Morogoro - CCM
Dodoma - CCM
Jr
Hahahaha watu ni ma critical thinker maana mi hata sikiwaza hivyo