Matokeo kidato cha pili hadharani, ufaulu waongezeka.

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
20,381
24,935
Ufaulu kidato cha pili waongezeka kwa asilimia 2.

Akitangaza matokeo hayo Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dk Charles Msonde alisema jumla ya wanafunzi 435,075 walioandikishwakufanya mtihani huo kati yao wasichana ni 189,161 na wavulana ni 183,067.

Chanzo : Mwananchi Online
 
Goli limepanuliwa tena wengi wameshinda kiulaini form two na division wapi na wapi Mwanafunzi ana F zote D mbili amefaulu hizo ni siasa katika elimu
 
Habari mbaya sana kwa watetea mafisadi chadema

Kwa hiyo hii nayo ni matunda mazuri ya awamu ya tano? Ikiwa Magu aliapishwa mwezi wa 11 watahiniwa wakiwa tayari wamefanya mitihani,hongera yake ni ipi? kuongeza upana wa goli ama kafunga goli la mkono??
 
Si hakuna kufeli ni walikuwa wanapima nn sasa si ni hela zingeenda kwenye maendeleo ya maji vijijini......
 
Kwa hiyo hii nayo ni matunda mazuri ya awamu ya tano? Ikiwa Magu aliapishwa mwezi wa 11 watahiniwa wakiwa tayari wamefanya mitihani,hongera yake ni ipi? kuongeza upana wa goli ama kafunga goli la mkono??

mitihani ilianza tarehe 16/11/2016
 
Back
Top Bottom