edson mtabe
Member
- Jan 18, 2012
- 8
- 0
kipindi hiki huwa kinakuwa na tetesi nying za uongo
Hapo kwenye red, umekosea au ndivyo ulivyotaka isomeke na ieleweke hivyo?
Sote tunajua kuwa waziri wakati wo wote ktk mwaka huu a-ta-tangaza matokeo. Tusichokijua na ambacho tunataka kujua ni tarehe gani? Bado hujatupa taarifa ya maana hapa labda ni kutujulisha tu kuwa atakayetangaza atakuwa waziri, taarifa ambayo sio wanayoitaka wanajf kwa sasa.