matokeo K2 balaa lingine

matokeo K2 balaa lingine

nikessy

Member
Joined
May 18, 2013
Posts
12
Reaction score
2
matokeo haya yanatisha na utaratibu wa kushusha viwango vya ufaulu kutoka 30 hadi 20 waweze kuendelea kidato cha tatu, huku waliofeli kwa mara ya pili wakipewa nafasi ya kurudia tena. matokeo yake tutayaona kwa kushuka ufaulu kidato cha nne mwaka 2015.
ndio tunaboresha kweli hapo wadau?
 
Vipi yametoka ama...
 
Back
Top Bottom