matokeo diploma ya walimu 2013

Rjohn

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
613
128
kama una info' kuhusu lini matokeo ya diploma ya walimu wa 2013, tafadhari nieleze maana presure inazidi mno
 
muulze yeyote aliyepga hyo paper mwaka huu akuambiE
kibaya zaidi unatakiwa kufaulu masomo yote uliyopigia paper unles hakuna ajira, na cunajua mziki wa NECTA
 
Back
Top Bottom