Well said mkuu..Ni kitu cha kushangaza sana kuifananisha Kenya na Tanzania...Eti DAMU inwagike kisa CCM imeshinda!!!,tobaaaa...Cha msingi CHADEMA wakubali tu kushindwa na waanze kujiandaa kwa uchaguzi wa mwakani badala ya kukaa na kuanza kujadili mambo ya faulo na mawazo haya MACHAFU ya kumwaga damu...Ukute hata huyo anayetoa mawazo ya kumwaga damu hayupo TZ wala Biharamuro na haijui Biharamuro bali anatoa mawazo hayo kwa kupitia michango(posts) inayotolewa hapa JF..Ni Mtazamo wangu tu jamani
Nyie akina Invisible mbona mnachachawa na kubadilsha heading ku sympathise na Chadema. JF mambo shaghala baghala bora mtangaze wameshinda chadema labda tutakuwa na mtirirko mzuri
C'mon mkuu,hope hujanielewa kabisa,
CHADEMA kuongoza halmashauri Tarime kusiwafanye wabweteke hata kidogo...
Cha msingi kama wana nia ya dhati kabisa ya kuwa chama mbadala(kama wanavyojiita)wajiimarishe/wajitangaze Tanzania nzima(mpaka visiwani) kama ilivyo kwa chama tawala-CCM...Wajiimarishe kuanzia ngazi ya shina(Tanzania nzima).....
kuhusu unafiki kabla hujawahukumu wengine kwa kuwaita wanafiki jiangalie wewe kwanza mkuu
Hata wewe nakushangaa na nitazidi kukushangaa kwa mawazo yako haya MACHAFU ya kutishia kumwaga DAMU kisa CHADEMA imeshindwa uchaguzi Biharamuro...Lol...Haki haidaiwi kwa Mapanga,marungu,Bunduki wala Silaha yoyote ndugu.......Unafikiri ukimwaga hiyo damu ndo CHADEMA itashinda?,thubutuuuuuuuu...Ama na nyie mnataka muanze yale mambo ya Ngangari na Ngunguri au Jino kwa Jino??,mkianza hivyo ndo mtakufa kisera kama walivyokufa wale wengine..Halafu muwe makini na kauli kama hizi,2010 hiyoooooo,majirani zenu watazitumia kauli hizi kuwamaliza kama walivyomalizwa wale wengine...pa1 mkuuohh yeah ni mtazamo wako ... na haina maana kuwa wewe unamiliki ukweli kuliko wa huyo mwenzako unayemshangaa hapo juu.
Hata wewe nakushangaa na nitazidi kukushangaa kwa mawazo yako haya MACHAFU ya kutishia kumwaga DAMU kisa CHADEMA imeshindwa uchaguzi Biharamuro
...Lol...Haki haidaiwi kwa Mapanga,marungu,Bunduki wala Silaha yoyote ndugu.......Unafikiri ukimwaga hiyo damu ndo CHADEMA itashinda?,thubutuuuuuuuu...
Ama na nyie mnataka muanze yale mambo ya Ngangari na Ngunguri au Jino kwa Jino??,mkianza hivyo ndo mtakufa kisera kama walivyokufa wale wengine..
Halafu muwe makini na kauli kama hizi,2010 hiyoooooo,majirani zenu watazitumia kauli hizi kuwamaliza kama walivyomalizwa wale wengine...pa1 mkuu
Hongera sana CCM kwa kushinda kiti cha ubunge cha jimbo la Biharamulo. Ushindi huu unadhihirisha wazi kuwa CCM ni chama kinachomika na kimbilio la wanyonge.
Aidha ninawapongeza CHADEMA, TLP kwa kushiriki katika uchaguzi huo mdogo. Kushiriki kwao kunaonesha jinsi demokrasia inavyoendelea kuimarika ndani ya nchi yetu.
CCM oyee!
Taratibu mazee...Ok fine CHADEMA hawajabweteka na wanajulikana nchi nzima kuliko hata CCM....Kuhusu kusaidia kuitangaza CHADEMA nchi nzima sitaweza kufanya hivyo maana kwanza sina muda huo na pili sina tabia ya kushiriki siasa za Chama chochote,ila naweza kutoa ushauri kwa chama chochote kupitia hapa JF where we dare to talk openly,sasa ni jukumu la chama hicho kuchagua ama kufuata ushauri wangu ama kuupuuza...So naomba unisamehe kama nimekukwaza mazee maana kila shemu unani attack as if nina lengo la kuichafua CHADEMA..Ina maana ni kosa kusema kuwa CHADEMA imebweteka(kwa walio na busara huichukulia hii kama changamoto na kuifanyia kazi) ama kushauri kuwa CHADEMA itumie muda huu uliobaki kujitangaza nchi nzima?????....Dah!!!,nways pa1 mkuuhell yes, nimekuelewa kabisa ulivyosema kwa CHADEMA haiko vijijini.
una hakika kuwa CHADEMA wamebweteka?
Unaonaje kama nawe ukiungana nao ili uwasaidie kujitangaza nchi nzima?
Katika hili, hata sikushangai.
Well said mkuu..Ni kitu cha kushangaza sana kuifananisha Kenya na Tanzania...Eti DAMU inwagike kisa CCM imeshinda!!!,tobaaaa...Cha msingi CHADEMA wakubali tu kushindwa na waanze kujiandaa kwa uchaguzi wa mwakani badala ya kukaa na kuanza kujadili mambo ya faulo na mawazo haya MACHAFU ya kumwaga damu...Ukute hata huyo anayetoa mawazo ya kumwaga damu hayupo TZ wala Biharamuro na haijui Biharamuro bali anatoa mawazo hayo kwa kupitia michango(posts) inayotolewa hapa JF..Ni Mtazamo wangu tu jamani
Tuachane na malumbano haya mkuu,hayana Tija yoyote..Tuendelee kumkoma nyani giladi...Pa1Ushaanza kuweka maneno kwenye maandishi/mawazo yangu. Au ndiyo kuishiwa hoja nini?
Haya sijui hata unakoyatoa.... inawezekana unahitaji miwani mkuu.
Mhh ... asante sana mkuu, inaonekana una PhD ya political science. Yaani umefanya uchambuzi hadi nimekoma mwenyewe.
Unajaribu sana kutumia third part kwenye maandishi yako wakati unajua kabisa unachokiongelea kinatoka kwenye nafasi ya kwanza (ambayo ni wewe mwenyewe).
Kazi kweli kweli
Taratibu mazee...Ok fine CHADEMA hawajabweteka na wanajulikana nchi nzima kuliko hata CCM....
Kuhusu kusaidia kuitangaza CHADEMA nchi nzima sitaweza kufanya hivyo maana kwanza sina muda huo na pili sina tabia ya kushiriki siasa za Chama chochote
.. ,ila naweza kutoa ushauri kwa chama chochote kupitia hapa JF where we dare to talk openly,sasa ni jukumu la chama hicho kuchagua ama kufuata ushauri wangu ama kuupuuza...So naomba unisamehe kama nimekukwaza mazee maana kila shemu unani attack as if nina lengo la kuichafua CHADEMA..
Ina maana ni kosa kusema kuwa CHADEMA imebweteka(kwa walio na busara huichukulia hii kama changamoto na kuifanyia kazi) ama kushauri kuwa CHADEMA itumie muda huu uliobaki kujitangaza nchi nzima?????....Dah!!!,nways pa1 mkuu
................................Pa1Naona unazidi kupandikiza maneno, hayo ya kuliko ccm unayasema wewe.
Mhh, pamoja na uchambuzi wa nguvu ulioutoa hapa bado huna muda wa kushiriki kwenye siasa za chama chochote? Tafadhali weka talent yako pale inapostahili mkuu. Uchambuzi wako (hasa kuhusu CHADEMA) sio mchezo.
Wewe sasa una lako jambo na hizo attacks zako. Umeshasema kuwa watu wana-talk openly ..... si ndiyo?
Ukiona sehemu yoyote nimekuambia kuwa unakosea kwenye uchambuzi wako makini naomba uiweke hapa nami nitakuomba msamaha. Kinachofanyika hapa ni uchambuzi wa kile unachoandika kwa kadri wewe unavyochambua vya wengine.
Take it easy mkuu ..... hiyo ndiyo kawaida ya JF ... kwa muda mrefu sasa.
Kweli mkuu
hizi fikira za wapi sijui eti kumwaga damu ,labda damu ya mbuzi tena fikra za namna hii zipitie mbali sana .Wazee wetu vijijini hawakututuma tuende shule ili tuje tuwahamasishe umwagaji damu.
Hayo yalikuwa kipindi cha maji maji walijifunza baada ya kipigo ndio wakatutuma twende shule tuje na soln rahisi na ya uhakika sio kurudia soln zile zile ambazo zimefeli
Tuachane na malumbano haya mkuu,hayana Tija yoyote..Tuendelee kumkoma nyani giladi...Pa1
..............................Pa1Malumbano ? far from it.
Shule yako ni muhimu sana mkuu, tafadhali sana usiache kuendeleza uchambuzi wako. Wanachadema watauhitaji sana wakati huu wanapouguza vidonda vya "kushindwa" B'mulo
Tanzania kweli nchi ya kijamaa ... kuna watu bado wanatumwa na vijiji vyao kwenda shule!
Msikini wangu
Sasa sishangai tena kwanini malalamiko hayaishi
Chadema poleni kwa kulikosa Jimbo lkn Hongereni kwa graph yenu kupanda ya kupata kura za wananchi...kwani hili Jimbo lilikuwa la TLP.
Wapinzani watakiwa kujifunza Makosa yapo wapi...otherwise itakuwa ni wasindikizaji tu. Tatizo la kwanza ni Tume ya Uchaguzi.
CCM wamefanikiwa kwa propaganda ambazo imewapakazia Vyama vya Upinzani...the so called "Upinzani" wenyewe wamekuwa wapinzani kwa wapinzani...na Hapa ndipo CCM ilipofanikiwa....kibaya atakae UMIA ni mwananchi wa kawaida.
as long as Tume ni hii hii....wapinzani/Wananchi wasitarajie Mapya!!!!