Mkuu Invisible,
.....
Binafsi ningependa kweli kujifunza CCM wanatumia mbimu zipi kuiba? Hivi hakuna wana CCM hapa wanaotaka ku spill the beans? Yaani vyama vya upinzani mmeshindwa kabisa kuiba siri za CCM?
Wewe upo wapi?? unshindi gani kwani hujui kuwa mshindi amepatikana na CCM ndiye tume imemtangaza mshindi??Kwa kuanzia tu,
Wanatangaza yule wanayetaka ashinde ...... huku wakiwa wamezungukwa na FFU.
Bona hapo hapo Kabuye alichukuwa kutoka TLP,hata hivyo bado hujajibu swali.
Ni kitu gani unaamini kwamba kuna wizi umetokea.?Wanaoleta habari za wizi kumbuka nawo wako biased na chama chao.Sasa ni kigezo gani kinatumika kuutambuwa wizi ?
Waliko B'mulo kuna vurumai yoyote kati ya wananchi na ffu?? ama vurumai iko kwa viongozi wa chama kutoka dar?
Wewe upo wapi?? unshindi gani kwani hujui kuwa mshindi amepatikana na CCM ndiye tume imemtangaza mshindi??
Invisible anatakiwa awajibike kwa hili,maana taarifa ya awali ilionekana kama taarifa Rasmi kuwa CHADEMA imeshinda B'muro Magharibi na watu kibao wakajitokeza kuipongeza CHADEMA..Invisible tuombe radhi wana JF mkuu..Pia napendekeza heading ya hii thread iwe ni: CCM yashinda Biharamuro Magharibi....Muda mchache uliopita nimesikiliza taarifa ya habari toka TCB-TV ambapo CCM imetangazwa kushinda kiti cha Ubinge-Bmulo. La kusikitisha na kushangaza matokeo rasmi hayajatangazwa hapa Bmulo. Hakuna kauli yoyote Zaidi ya mahojiano yaliyofanywa na Mkurugenzi wa Uchaguzi na Radio Kwizila ya Ngara ambapo Mkurugenzi alikiri CHADEMA kuelekea kushinda.
Sasa TBC inapomtangaza mgombea wa CCM kushinda ni kwa kura zipi? Zilizopigwa kupitia TV au mabox ya uchaguzi? Yawezekana kulikuwa na uchaguzi mwingine unaendeshwa kupitia TV!
Mkulu Invisible nawe uthibitisho wa matokeo rasmi umeutoa wapi?
Kwa sasa kinachofanyika ni propaganda. Invisible kuwa makini usijekuwa sehemu ya Propaganda Pima Upepo Tutekeleze Letu
Mbowe, Slaa na Zitto washapanda ndege na kujirudia Dar, wale akina mwenzangu mie Mnyika, Lema, Tumbo wanachezea vumbi hivi ndani lori la Chadema ado ado Dar mpaka baada ya wiki moja!
Du! Wandugu mbona mwanichanganya... nani mshindi?
Du! Wandugu mbona mwanichanganya... nani mshindi?
True, du... kazi ipo, yaani mwili unatetetetemeka sassaaasasa hiiiiviii... siiiieelewi...You're late by a day or so...
True, du... kazi ipo, yaani mwili unatetetetemeka sassaaasasa hiiiiviii... siiiieelewi...
Mkuu maneno yako haya ni mazito sana,hope ulikuwepo B'muro,haya fanya utujuze basi huo wizi wa kura ulikuwaje?,tufumbue macho kidogo ili tujue hawa CCM wanavoiba hizo kuraSwala linalozungumzwa hapa sio CCM kushinda, Swala ni wizi wa kura.
Mkuu maneno yako haya ni mazito sana,hope ulikuwepo B'muro,haya fanya utujuze basi huo wizi wa kura ulikuwaje?,tufumbue macho kidogo ili tujue hawa CCM wanavoiba hizo kura
Mkuu soma matokeo hapo juu mwanzo wa thread, kilicho fuatia ni kushikilia matokeo yaani kuto yatangaza huku wakiendelea kubadilisha kura, then ni kuita FFU kuzunguka, then ni Kivuiti wa Tanzania kutangaza aliye shindwa kuwa mshindi, case closed
But for sure these thick skinned people , they will one day pay for what they are doing!
Mkuu soma matokeo hapo juu mwanzo wa thread, kilicho fuatia ni kushikilia matokeo yaani kuto yatangaza huku wakiendelea kubadilisha kura, then ni kuita FFU kuzunguka, then ni Kivuiti wa Tanzania kutangaza aliye shindwa kuwa mshindi, case closed
But for sure these thick skinned people , they will one day pay for what they are doing!