Matokeo Biharamulo: Chadema yaongoza Mijini, CCM vijijini!


ohooo..mkuu hapo I can sense kaujanja ujanja tayari!
 

"I absolutely smell a rat"
 
Zitto anamkomalia Mkurugenzi kuhusu sheria inavyosema kuhusiana na kuhesabu masanduku upya , kwani ni lazima pawepo na malalamiko ya mawakala kutoka kituo ama vituo husika ila kwenye kata hiyo malalamiko hayo hayakiuwasilishwa , ila mpambano unaendelea japo naona mashushushu wanamnongoneza mkurugenzi kitu inawezekana ni kuhusiana nami kutoa moja kwa moja yaani live kutoka humu ndani .

Naambiwa nizime komputa yangu kwani ninawasiliana na nani na kitu gani , haswa ikizingatiwa kuwa nimekula kiapo cha kutunza siri.
 
Anyway, ZIMA... Umetenda dhambi kwa kukiuka kiapo!

Zitto hajalala kabisa? Manake niliongea naye mida ya saa 9 usiku kwa saa za Tanzania akiwa macho tu... Si mchezo!
 
Ahsante sana Invisible kwa taarifa hizo.Lakini naomba urudi nyuma na kutafakari kidogo.Kwani kushinda kwa Chadema, TLP au hata CCM kuna maana gani kwa mtanzania wa kawaida?Si mfumo au order ile ile tu itakayo endelea with a different face.Si utapeli ule ule tu utakao endelea kwa kiwango tofauti cha kuumana.

Tatizo hapa sio CCM au Chadema au Serikali.Tatizo ni mfumo au order ambayo imekuwa imposed on us.We need our own order,mfumo mpya kabisa wa kwetu.Huu wa sasa ni wa kwao,the so called the "Elite au Moriah", ambao hata hivyo wanataka kuubalisha.

 
Zitto hajalala kabisa? Manake niliongea naye mida ya saa 9 usiku kwa saa za Tanzania akiwa macho tu... Si mchezo!
... Which means na wewe hujalala kabisa, kwani usingeweza kuongea naye ukiwa usingizini !!
 

Mmmhhh!! Huoni hata aibu kutuambia unavunja sheria? Watanzania bwana kweli kapu la masamaki yaliyojaa uvundo.
 
wakuu mimi ni mwana ccm na kwa hali hii ya jana na leo let chadema take the jimbo, tusiwafanye wananchi machizi kwa maamuzi yao, wameamua tuyakubali, kama benjamin Namdi Azikiwe, "Nimewasikiliza, nanyi mnisikilize" ndio ustaraabu. Nawaomba wakuu wangu wa chama cha mapinduzi kufunika kombe mwanaharamu apite
 
Last edited:
Shell inapanda agip inashuka, nilijua tu hawa CCM hawawezi kubali, dawa ni kuwakomalia kooni mpaka wakate roho kwani ni wagumu mno na wanatumia everybody hata unayemwamini anaweza kuwa wao.
 


Matokeo ya kituo kwa kituo tuliyoyapata dakika chache toka kwa mwakilishi wa JF jimboni humo yameambatanishwa hapa chini kama attachment:

Haya ni matokeo tosha tuliyokuwa tunayasubiri ndugu zangu......i am happy like i am drinking MBEGE. Huku ughaibuni, taarifa kama hii inelete amani rohoni. Hata kama CHADEMA wangeshinda kwa kura 1 ushindi ni ushindi tuuuuuu...is a great achievement anyway....safari twende! P

Pole nyingi kwa ndugu Masatu
 
Duh!

Haya ni matokeo toka kwa mwakilishi wetu mkuu... Tunasubiri Tume ya Uchaguzi itatangaza nini... Matokeo haya yatakuwa batili endapo Tume itatoa tofauti na haya, hatuwezi kuipinga tume... Ikishatoa maamuzi ndiyo FINAL!
 
hata sisi 2005 tulishinda kwa kura 6 bukoba mjini
 
Pia inategemea unadhani nipo nchi gani
Kwi kwi kwii !!! Hayo tuyaache Mkuu, tusije tukawarahisishia watu kazi humu! Unajua wakati mwingine presha za kusubiri matokeo zinasababisha tuweke post za ajabu, kwa hilo utanivumilia. Nipo nasubiri vijana wako wakupe update utuwekee hapa !!
 
CCM wanataka kuhesabu kura walizoingiza baada ya kuharibu gari njiani na matokeo yao wametupa, swali je matokeo ya vyama si kila wakala anatakiwa asaini kwa hiyo hayo ya chadema waliyonayo si wakala wa kila chama na msimamizi wa kituo walisaini? Je wanayakataa kabla hawajafungua tena hayo masunduku? kama wasimamizi na wakala wa CCM wanakataa saini zao kalabaghao Chadema wakikubali kuhesabu upya bila taratibu zinazofaa kwishine .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…