Kwani matokeo hayo yalikuwa yanapikwa yakaungua au ofisi zimeungua au pcs zimeungua na shoti ya umeme au ni vipi? ungeleta source ya kuungua tungeamini lkn kama hakuna sbb inawezekana ni funga sumaku na kamba, usiwadanganye wadanganyika wakati wameamka kwenye vono la uongo tunaamini real sources.