Haya ni aina flani iv ya matofar nimeyaona katika kipind cha ujenz apo east Africa television but hawajanipa maelezo yanapatikana wapi na kwa gharama gani..kiukweli nimevutiwa sanaa na hizo tofari
Kwa mwenye kuzielewa atupe maelezo kiundani uimara,gharama zake na upatikanaji wake mfano kwa dar es salaam hupatikana wapi.