Matiti ya mwanamke kutepeta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matiti ya mwanamke kutepeta

Discussion in 'JF Doctor' started by Mu-sir, Jun 3, 2011.

 1. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Wakuu habari. Nauliza kama kuna dawa au namna yoyote ya kurudishia matiti ya mwanamke yaliyotepeta (yaliyolala)katika hali yake ya kusimama. Nimeulizwa na nikakosa jibu tafadhali mwenye kujua anijuze..
   
 2. Evmem

  Evmem Senior Member

  #2
  Jun 3, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wataka kumkosoa Muumba au?
   
 3. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  nyie kutwa mnakesha mnanyonya mititi ya wabinti na mambo yenu ya kuitana baby sijui nini ...sasa matititi yametepeta ka ndala mnataka yarudi ..hamna hiyo ndo ntolee
   
 4. m

  menny terry Senior Member

  #4
  Jun 3, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 187
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  ***** wewe ulipokuwa unayakanda na kuyanyonya ulikuwa unajiona kama upo peponi vile!!miraha ilikuwa ni noma sasa yametepeta unataka dawa hata babu wa loliondo hana tiba.
   
 5. T

  The Priest JF-Expert Member

  #5
  Jun 3, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 1,026
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  ha ha ha ha!mchina tu hapo yatakuwa poa,ila bdae yatatepeta 100times.
   
 6. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #6
  Jun 3, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,192
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  surgery can work mazee....
  kwa east africa nadhan nairobi ndo wa[po juu kwa utaalam huu, bongo sijui.
   
 7. Yousuph .M.

  Yousuph .M. Senior Member

  #7
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tena astahimili hali ya maumbile hay, siku zote si asubuhi...bali alasiri hujiri kwa binaadam.
   
 8. Acha Uvivu

  Acha Uvivu JF-Expert Member

  #8
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 528
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Acheni hizo. Leo nimeamini ndo mnafanya dada zetu waharibike. Kama kashazeka astafu maravidavi, muda wake umeisha hawezi kurudi nyuma. Ushauri ninao na siutoi.
   
 9. n

  nyuki dume JF-Expert Member

  #9
  Jun 3, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 438
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ahaaa ,ahaaaa ,teehMbavu zinauma sana kwa kucheka,.
   
 10. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #10
  Jun 3, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,192
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  nahis utakuwa ajuza, manake una wivu ile mbaya
   
 11. upele

  upele JF-Expert Member

  #11
  Jun 3, 2011
  Joined: Mar 3, 2010
  Messages: 365
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  baba hata mswaki ukipiga sana unaisha so na hayo ndivo hivo unajua walio wengi wanakosea jinsi yakudhibiti maziwa wakati wetu wanakuwa kama wanakula ice cream
  Conquest-KILOMETRE NYINGI NDIYO KUFA KWA ENGINE
   
 12. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #12
  Jun 3, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  kajaribu loliondo inaweza kusaidia.
   
 13. nkasoukumu

  nkasoukumu JF-Expert Member

  #13
  Jun 3, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 692
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 60
  Kila chenye mwanzo haki kosi mwisho
   
 14. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #14
  Jun 3, 2011
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Kama unaweza kuusimamisha mkufu basi na maziwa yaliyotepeta kama ndala yanaweza kuwa na dawa ya kuyasimamisha!! Sana sana jitahidi kushikilia na sidilia!!
   
 15. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #15
  Jun 3, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  hahaha jamani humu ndani mna visa nyie. Sasa wewe unataka maziwa yasimame yaende wapi? Ameshazaa? Nahisi wewe nayeye wote ni vichaa. Nenda wodi ya mirembe wana tiba mbadala.

  Hujui kwa mawanamke maziwa kulala ni heshima, hasa kama una watoto. sasa wewe yasimame ili iweje? Hovyoooooo!
   
 16. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #16
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  He he he acheni kumuonea wivu ila du,labda plastic surgery/breast implant
   
 17. s

  shosti JF-Expert Member

  #17
  Jun 4, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  hahahah ina maana hata ukiinama hayasimami...?
   
 18. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #18
  Jun 4, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Wakuu nashukuru kwa michango yenu but mimi nimeulizwa na mtu na mimi kwa kukosa jibu nimeuliza wana JF wenzangu, sasa kama hujui mbona una challenge mambo yasiyo ushauri? Nashauri ili tusiharibu maana ya JF tuchangie mada zetu kulingana na hoja ilivyoletwa na muhusika. Thanks all kwa kuchangia
   
 19. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #19
  Jun 4, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,957
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Ndo imetoka hiyo, ikirudi pancha.
   
 20. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #20
  Jun 4, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Yalete niyaweke sawa! Sperm zangu zina nguvu ya kuyarudisha kwenye hali ya kawaida
   
Loading...