Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,224
- 1,258
Hivi haka kamtindo ka kuacha maziwa watu wayachungulie mnavyofanya wakina dada mna maana gani???? Yaani utakuta mtu hadi wa ofisini wazima kayaacha nje au wengine wamevaa nguo zenye V yaani maziwa kila mtu anayaona halafu myebana mpaka mnatupa watu kufanya kazi na nyie.Acheni bwana matiti yako kamuonyeshe mumeo huko alaaaaaah
Upo serious haupendi kuona manyonyo?
Ntamuonesha kama anapenda ila kama hapendi basi, ndo maana nimemuuliza yupo serious?Hebu muonyeshe kwanza upate kujua kama anapenda au hapendi.
Ntamuonesha kama anapenda ila kama hapendi basi, ndo maana nimemuuliza yupo serious?
tam tam hiyo na wewe kinacho kufanya uangalie hiyo mamushaka ni nini kumbe nawe wapendahivi haka kamtindo ka kuacha maziwa watu wayachungulie mnavyofanya wakina dada mna maana gani???? Yaani utakuta mtu hadi wa ofisini wazima kayaacha nje au wengine wamevaa nguo zenye v yaani maziwa kila mtu anayaona halafu myebana mpaka mnatupa watu kufanya kazi na nyie.acheni bwana matiti yako kamuonyeshe mumeo huko alaaaaaah
Najua we hupendi....Niulize namm
Hebu muonyeshe kwanza upate kujua kama anapenda au hapendi.
yes am serious ninakuwa majaribuni
mwambie avae vizuri au unamwogopa
kaka ni umalaya tu hakuna kingine wakiacha umalaya watavaa kwa kusitiri miili yao halafu unakuta anona wanao jiuza ndo malaya,kumbe wote malaya tu tofauti huyu yuko kwenye ki ofisi......."..vivyo hivyo mwanamke avae mavazi ya kusitiri"