ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,084
- 84,977
My Take
1.Huu ni ujumbe Kwa vibaraka.
2.Ujumbe Kwa mabwana zao
3.Ujumbe Kwa wale Qanaolazimisha Kibaraka Atolewe Jela licha ya Kutoa Kauli za Uasi.
4.Ujumbe Kwa kina Gwajima & Wanaharaki wengine .
Rais apunguze uungwana wanataka kumzoea vibaya.
Pia hapa kuna vita za mfumo dume,dini nk so wanawake msikubali kudhalilishwa kijinga jinga.
Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Esther Matiko, amesema kuwa falsafa ya maridhiano, mageuzi, upendo na ustahimilivu (4Rs) inayosimamiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, haipaswi kutumiwa kama mwanya wa kuvuruga heshima ya Taifa na kumdhalilisha Rais.
Akichangia hoja ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa mwaka wa fedha 2025/2026, Mhe. Matiko amesema kuwa huko nyuma, licha ya viongozi wa upinzani kukamatwa na kufunguliwa mashtaka, hakuwahi kushuhudiwa vitendo vya dhihaka na matusi dhidi ya Rais kama inavyoshuhudiwa sasa kupitia mitandao ya kijamii.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Huko nyuma hatukuwahi kuona haya mambo yakitokea. Kwa nini yatokee sasa? Kuna jambo linafichwa. Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe, aliwahi kukaa ndani kwa muda mrefu, lakini hatukuona aina hii ya dharau kwa Rais," amesema Matiko.