Matiko Matare ni mzima

Status
Not open for further replies.
hivi shonza na mwampamba wako wapi mashujaa hawa?
hawa ni wacheza shoo wanaandaa beat na mistari mipya baada ya ile ya kwanza kufa kwa 4 - 0

nahuyo mwingine anatoa burudani kama Mazoea !
 
asante kashaijabutege kwa kutuhabarisha kuhusu hilo jembe sasa na huyu asha mzava nae aliishia wapi?
 
Huyu jamaa siwezi kumwelezea sana, Lakini ninachokumbuka alikuja alikuja katika shule niliyokuepo wakati huo. Akawa mwalimu wa taaluma. Alikua kichwa sana kwa nafasi zake; nikauliza kwanini yupo hapa? Nikajibiwa na watu wake wa karibu "amepigwa 'ban' na govt"!


tragedy of the commons
 
Kwahiyo chuo chenu maprofesa wanaongozwa kwa mgomo!!!

Ndio maana yake, Newton's first lwa of motion states that" Anything will remain on its state of origin until external force act on it"
 
Kamanda Matiko Matare ni mzima tena bugheri wa afya,, nilikuwa nasikia sana taarifa zake,, nikajaaliwa kumuona live kwa mara ya kwanza juzi trh 07/10/2013 alipokuja Dar katika semina ya mafunzo kwa viongozi wa kanda CHADEMA,,
 
Kamanda Matiko Matare ni mzima tena bugheri wa afya,, nilikuwa nasikia sana taarifa zake,, nikajaaliwa kumuona live kwa mara ya kwanza juzi trh 07/10/2013 alipokuja Dar katika semina ya mafunzo kwa viongozi wa kanda CHADEMA,,

nADHANI WEWE NI GAMBA,KAMA SIVYO BASI HUMJUI MATARE MATIKU LETE HABARI ZA MAANA KAKA
 
Haina haja ya kurumbana humu wanajf, Matuku Matare ni mzm kwani alikuwa Mwlm wangu Mwembeni high school Musoma baadae akaitwa kusimamia shule moja huko kusini km h/master, hata hivyo ingekuwa ruhusa yake ningetoa mawasiliano yake, ni jembe la masomo ya sayansi ya jamii.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…