Matiko Matare ni mzima

Status
Not open for further replies.
Kwani Matiko Matare ni nani? ni nani huyu mpaka tumjue?
 
Kwa taarifa yenu Bazigiza alishafariki na mazishi yake nilihudhuria
 
Na mtu mmoja anaitwa Haroun Kimaro naye yupo wapi jamani?
 
hivi shonza na mwampamba wako wapi mashujaa hawa?
 

Unathibitisha wewe mwenyewe au?
 
Bazigiza alishafariki kweli na alifia Dar es salaam.Ila najua wabishi watanitaka death certificate.
 
Huyo anafaa kuwa chadema kwa sababu chadema wamespecialize kwenye maandamano ya kugomea shughuli za maendeleo...

Kwenye thread wameandika kuhusu Kangi na Chami, je, nao wajiunge Chadema? Changanya na za kwako....ukombozi wa fikra Ni muhimu zaidi ya Utumwa wa akili na PESA. Ukibahatika kukaa naye Hata dakika 10 hutozijutia dakika hizo maishani mwako...tatizo mmekalia kuwasikiliza vihiyo wenye sifa za kuungaunga wasio na CV zozote katika Taasisi za wasomi...Mkimsikiliza NEPI mnadhani ndo CREAM za nchi hii kumbeeeeeeeee....mpaka zikufikie...Salam kwako
 

Basi kama ni kweli kuwa kaingia Chadema, basi ni lazima atakuwa yuko frustrated na watamfrustrate zaidi.
 
Basi kama ni kweli kuwa kaingia Chadema, basi ni lazima atakuwa yuko frustrated na watamfrustrate zaidi.

Hahahahahahahahahaha afadhali umegundua.

Hawa vijana frustration zitawapeleka pabaya, badala ya kufanya kazi kwa bidii wanadhani kuna muujiza utakuja kuwaboreshea maisha!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…