GE2025 Matiko awekewa pingamizi Tarime

GE2025 Matiko awekewa pingamizi Tarime

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
10,569
Reaction score
21,075
PINGAMIZI TAMU KUSOMA 😂

———
Ester Matiko amewekewa Pingamizi na Mgombea wa ACT bwana Jackson Kangoye pale Tarime Mjini.

Sehemu ya Pingamizi linasoma kuwa hukumu ya Mahakama ya tarehe 14/12/2023 ilimpa uhalali wa uanachama Ester Matiko kuwa ni CHADEMA ili aendelee kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hadi tarehe 03/08/2025.

Hivyo Esther Nicholas Matiko alichukua fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku akiwa mwanachama halali wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa mujibu wa Hukumu ya Mahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam, tarehe 14/12/2023.

Hivyo kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, sheria ya Vyama Vya Siasa na Hukumu ya Mahakama kuu Kanda ya Dar es Salaam hadi anachukua fomu kugombea kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) bado Esther Nicholas Matiko alikuwa mwanachama halali wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na sio mwanachama halali wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hivyo amekosa sifa kugombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Tarime Mjini.

Maelezo yanasema Lakini pia inathibitisha Esther Nicholas Matiko hana uadilifu kwani alikula kiapo kuitetea na kuilinda na kuiheshimu katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Lakini kinyume chake alienda mahakamani kutetea uanachama wake wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), huku akiwa na kadi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Alichofanya ni dharau kubwa kwa Mahakama Kuu ya Tanzania,

Na matiko ameomyesha kadi yake kuwa amekuwa mwana CCM tangu mwaka 2023 na wakagi huo huo ni Mbunge wa Chadema🤔
 
Ana pingamizi yenye mashiko, lakini haitatiliwa maanani kwa sababu INEC ni tawi la CCM.
 
Pingamizi lina mashiko lakini litatupwa kwani Covid ni project ya wakubwa.
 
Ukiitazama sura jitu linaitwa jaji mwambegele na jingine linaitwa jaji mutungi basi hapo sasa unaona sura halisi ya maiti zilizogaa kwa kutafuta democrasia dhidi ya udhalimu wa majaji
 
Patamu....ila masikini nchi ile definition au interpretation ya kila kitu inategemea unatoka chama gani
 
PINGAMIZI TAMU KUSOMA 😂

———
Ester Matiko amewekewa Pingamizi na Mgombea wa ACT bwana Jackson Kangoye pale Tarime Mjini.

Sehemu ya Pingamizi linasoma kuwa hukumu ya Mahakama ya tarehe 14/12/2023 ilimpa uhalali wa uanachama Ester Matiko kuwa ni CHADEMA ili aendelee kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hadi tarehe 03/08/2025.

Hivyo Esther Nicholas Matiko alichukua fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku akiwa mwanachama halali wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa mujibu wa Hukumu ya Mahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam, tarehe 14/12/2023.

Hivyo kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, sheria ya Vyama Vya Siasa na Hukumu ya Mahakama kuu Kanda ya Dar es Salaam hadi anachukua fomu kugombea kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) bado Esther Nicholas Matiko alikuwa mwanachama halali wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na sio mwanachama halali wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hivyo amekosa sifa kugombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Tarime Mjini.

Maelezo yanasema Lakini pia inathibitisha Esther Nicholas Matiko hana uadilifu kwani alikula kiapo kuitetea na kuilinda na kuiheshimu katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Lakini kinyume chake alienda mahakamani kutetea uanachama wake wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), huku akiwa na kadi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Alichofanya ni dharau kubwa kwa Mahakama Kuu ya Tanzania,

Na matiko ameomyesha kadi yake kuwa amekuwa mwana CCM tangu mwaka 2023 na wakagi huo huo ni Mbunge wa Chadema🤔
Khaa makengeza alituchota akili
 
Back
Top Bottom