Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 10,529
- 15,224
Hoja zake zinamashiko lakini hiinchii ilivyo corrupt mifumo inategemea simu toka juu.
Balaa tupu kuwa na mahakama ya hovyo kama hiiInasikitisha
Hiyo pingamizi haiko mahakamani. Pingamizi zinashughulikiwa na INEC. Hata hivyo, yote ni matawi ya CCM!Rostam alshatwambia kuhusu mahakama za Tanzania kwaiyo asipoteze muda