silaha ya nini kwa mtoto wa kike? akivamiwa ataweza kuitumia au atapiga kelele tu? atubu dhambi za kumsaliti mumewe na kuzaa na salum mwalimu
Nawe utubu kwa kumsaliti mumeo na kuzaa na katibu wa CCM wa kata bwn. Maige.silaha ya nini kwa mtoto wa kike? akivamiwa ataweza kuitumia au atapiga kelele tu? atubu dhambi za kumsaliti mumewe na kuzaa na salum mwalimu
Unanikumbusha salaamu za Mzee Rukhsa jana kwenye sherehe za miaka 58 ya Uhuru. Aliiambia hadhira ya wa-Tanzania waliokuwepo uwanja wa CCM Kirumba akasema NAKUPONGEZENI, SIYO KWAMBA NAWAPONGEZA, NAKUPONGEZENI! Mzee huyu jana alipelekea nikumbuke kuwa mimi ni msukuma, Kiswahili ni lugha yangu ya pili. So, is you!Kakiri au kakubali kwamba anamiliki silaha?
"So is you".Unanikumbusha salaamu za Mzee Rukhsa jana kwenye sherehe za miaka 58 ya Uhuru. Aliiambia hadhira ya wa-Tanzania waliokuwepo uwanja wa CCM Kirumba akasema NAKUPONGEZENI, SIYO KWAMBA NAWAPONGEZA, NAKUPONGEZENI! Mzee huyu jana alipelekea nikumbuke kuwa mimi ni msukuma, Kiswahili ni lugha yangu ya pili. So, is you!
Kumiliki silaha kisheria siyo kosa, na ni kitu cha kawaida kabisa hasa kwa viongozi wengi wa ngazi kama ya huyu mama. Tatizo liko hapa kwamba, kwa mfano wewe uko na njaa, ukaamua kwenda kwenye mgahawa kula chakula, halafu ikaja ikatokea huko mbele ya safari mtu akaja akakuuliza swali kuwa kwa nini ulikula chakula, wakati kila mtu anajua fika kabisa kuwa mtu kula chakula ni kawaida pindi unapokuwa ana njaa, sijui unanielewa? Italeta mantiki tu iwapo tu katika mazingira hayo, mtu atakuuliza kwa mfano kuwa, kwa nini ulikwenda kula mgahawa A na si mgahawa C?Hakuna kosa hapo mbona hata mimi najisiki na niko chuo mwaka wa kwanza cha msingi ni namna ulivyomilikishwa
Anza kutubu zako kwanzasilaha ya nini kwa mtoto wa kike? akivamiwa ataweza kuitumia au atapiga kelele tu? atubu dhambi za kumsaliti mumewe na kuzaa na salum mwalimu
Wewe sema unavyojua.Kwa hiyo ulitaka niseme "so are you" si ndiyo? Kiingereza ni ya tano!
Asilimia 100 unaijua ni kitu gani?Ninachojua kwa asilimia zaidi ya 100 ni hivyo vyote nilivyoandika
silaha ya nini kwa mtoto wa kike? akivamiwa ataweza kuitumia au atapiga kelele tu? atubu dhambi za kumsaliti mumewe na kuzaa na salum mwalimu
Kama hayo maswali ninayokuuliza kuhusu habari ulizoleta wewe ni marginal, nani kaleta marginals?Instead of discussing the marginals, may you please stick to the topic of the thread, if at all, there are (still) any contributons from you?, Please!
This is not a newspaper, nothing sticks.I would better change my phrase to,...Instead of sticking to the marginals......, .