Ngiyemenya
Member
- Aug 11, 2016
- 67
- 32
Wadau naomba kuuliza vizuri kuhusu chuo cha mati igulusi manake kuna Dogo langu amechaguliwa huko katika fani ya LAND USE, sasa anahitaji kujua zaidi mazingira ya chuo kwasababu hadi sasa hajatumiwa joining instruction so kama kuna wadau walipita huko naomba mnijuze kuhusu chuo hicho natanguliza shukrani zenu.

jamaa mbona waguna?Mmhh!!
ina jina Ndio nalionajamaa mbona waguna?
alaf kwenye guidebook ya book ya nacte hyo kozi ipo under government sponsorshipWadau naomba kuuliza vizuri kuhusu chuo cha mati igulusi manake kuna Dogo langu amechaguliwa huko katika fani ya LAND USE, sasa anahitaji kujua zaidi mazingira ya chuo kwasababu hadi sasa hajatumiwa joining instruction so kama kuna wadau walipita huko naomba mnijuze kuhusu chuo hicho natanguliza shukrani zenu.