Mr. Magena
Member
- Aug 30, 2011
- 35
- 4
We ni mosabi welder au nimechanganya mafile?
Samahani wanajamii,, mim nataka kupost kitu..
Kama huyu jamaa aliyetupia Hyo mathematic..
Nifanyefanyeje..
Kwani kina manufaa kwa wanajamii..
unatukana wazazi wako?
Yani unajiita mtoto wa bahati mbaya?
Kweli unajitafutia laana peke yako.
umenijuaje bro
ungemjibu kwa kiswahili tu huyo jamaa huku ukimuonesha kwa vitendo.Nalog offIlinitokea nikiwa Zimbambwe. Siku tukiwa na sherehe ya kukaribishwa kwenye masomo, waandaaji walitanguliza juice kabla ya mapochopocho mengine. Kila mmoja alikuwa anakunywa juice kwa kutumia mrija. Mimi sikujua (kwa wakati huo) kabisa mrija unaitwaje kwa kingereza na kwa kuzingatia kwamba nilikuwa peke wangu Mtanzania na Wakenya nilikuwa sijazoeana nao ilinibidi niende Kaunta nichukue mrija kwenye boksi jambo ambalo halikuwa sawa maana tulikuwa tunahudumiwa.
Baadae niliuliza na msimamizi wetu kwanini nilikwenda kaunta wakati kuna wahudumu ..... Nilimwambia ukweli kwamba nilifuata mrija (kwa kumuonyesha) maana siujuhi kwa kingereza. Hivyo basi, the old man alikuwa sawa maana alieleweka na kuhudumiwa.
nenda kwenye jukwaa tafuta sehemu imeandikwa new post. Click hapo then fanya mambo.
NB: Ukipost upupu computer yako itajizima na haitowaka tena.
Ilinitokea nikiwa Zimbambwe. Siku tukiwa na sherehe ya kukaribishwa kwenye masomo, waandaaji walitanguliza juice kabla ya mapochopocho mengine. Kila mmoja alikuwa anakunywa juice kwa kutumia mrija. Mimi sikujua (kwa wakati huo) kabisa mrija unaitwaje kwa kingereza na kwa kuzingatia kwamba nilikuwa peke wangu Mtanzania na Wakenya nilikuwa sijazoeana nao ilinibidi niende Kaunta nichukue mrija kwenye boksi jambo ambalo halikuwa sawa maana tulikuwa tunahudumiwa.
Baadae niliuliza na msimamizi wetu kwanini nilikwenda kaunta wakati kuna wahudumu ..... Nilimwambia ukweli kwamba nilifuata mrija (kwa kumuonyesha) maana siujuhi kwa kingereza. Hivyo basi, the old man alikuwa sawa maana alieleweka na kuhudumiwa.