Mathematicians: mnaikumbuka hii?

kyanaKyoMuhaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
1,952
Reaction score
939
Yaani siku ya mtihani wa PURE MATHEMATICS, siwezi pima
 

Attachments

  • image.jpg
    33.4 KB · Views: 297
sasa hivyo vya nini wakati tulikuwa tunaingia na calculator na maformula kibao??
 
Hapa ndio team work Kati ya boyfriend na girlfriend.
 

Attachments

  • image.jpg
    3.7 KB · Views: 476
  • image.jpg
    90.3 KB · Views: 84
Hii inakufanya utambe mitaani kupata " A"



 

Attachments

  • image.jpg
    24.4 KB · Views: 88
  • image.jpg
    47 KB · Views: 107
Nyingine hizo:
 

Attachments

  • image.jpg
    5.7 KB · Views: 466
Yaani wenye fani ukiwataja, mawe utakayorushiwa usipime.
 

Attachments

  • image.jpg
    12.7 KB · Views: 85
  • image.jpg
    3.4 KB · Views: 454
Mathematician kwa Penguin, ndio kabisa zilikuwa hazipandi!!
 

Attachments

  • image.jpg
    16.5 KB · Views: 80
  • image.jpg
    6.5 KB · Views: 457
bado ile ya kuvaaa tai, kumbe nyuma ya tai kuna mzigo wa material ya kutosha
 
bado ile ya kuvaaa tai, kumbe nyuma ya tai kuna mzigo wa material ya kutosha

Ahaaaaaahh! Yaani hiyo ilikuwa chuoni, dada aliyekaribu na mvaa tai, ilikuwa raha tupu, unatoka kwenye exam na make up ikiwa intact. Chezea wasomi weye.
 
Hizi kwa sasa ukienda UDSM, Ardhi, IFM CBE etc. ndio mpango mzima elimu yetu jamaniiiii
 
Yaani siku ya mtihani wa PURE MATHEMATICS, siwezi pima

Huwezi kuingia hivyo kwenye mtihani halafu ukaitwa a mathematician, stupid nonsese!. Akina Taylor, Legendre, Raphson, Binomial na wengine wengi wasingeweza kuitwa mathematicians kwa mtindo huo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…