BelindaJacob Platinum Member Joined Nov 24, 2008 Posts 6,494 Reaction score 4,079 Nov 10, 2012 #1 Unakumbuka hii? ilikuwa lazima uwe nayo,tena iwe imekamilika ndani!!
mtemiwaWandamba JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 561 Reaction score 223 Nov 11, 2012 #2 Halafu table mpaka ya kumi na mbili zipo kichwani.Ukisimamishwa na Mwalimu anakuambia niatajie orodha ya saba wewe unatiririka tu.
Halafu table mpaka ya kumi na mbili zipo kichwani.Ukisimamishwa na Mwalimu anakuambia niatajie orodha ya saba wewe unatiririka tu.
BelindaJacob Platinum Member Joined Nov 24, 2008 Posts 6,494 Reaction score 4,079 Nov 11, 2012 Thread starter #3 mtemiwaWandamba said: Halafu table mpaka ya kumi na mbili zipo kichwani.Ukisimamishwa na Mwalimu anakuambia niatajie orodha ya saba wewe unatiririka tu. Click to expand... Nayakumbuka na yale madaftari yalikuwa na table nyuma. Yaani unapractice hizo table hadi unadata..Skuli bwana!!
mtemiwaWandamba said: Halafu table mpaka ya kumi na mbili zipo kichwani.Ukisimamishwa na Mwalimu anakuambia niatajie orodha ya saba wewe unatiririka tu. Click to expand... Nayakumbuka na yale madaftari yalikuwa na table nyuma. Yaani unapractice hizo table hadi unadata..Skuli bwana!!
Kibunango Platinum Member Joined Aug 29, 2006 Posts 8,566 Reaction score 2,549 Nov 11, 2012 #4 Picha haionekani... (dead link)