Mateso shida ndani ya kituo cha mabasi ubungo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mateso shida ndani ya kituo cha mabasi ubungo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ERIC JOSEPH, Nov 17, 2011.

 1. ERIC JOSEPH

  ERIC JOSEPH JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Jamani leo nilikuwa nimechelewa kufika dar natokea mbeya.kweli kuna tabu shida sana jinsi watu wanavyolala mpaka huluma sikuwah ona.tutunze kipato tukipatacho kwa maisha ya kesho.
   
 2. Goldman

  Goldman JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 852
  Trophy Points: 280
  ni hali halisi ya kuwa maisha ni magumu mno kwa wengi. Lakini cha ajabu tunasheherekea 50 yrs ya uhuru ktk hali mbaya kiuchumi na bado watu wanaitaka ccm!
   
Loading...