Mateso mengine ya kujitakia jamani

Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
268,282
1,096,069
Hapo bado sms za JF,watsup,tweeter nakadhalika

Halafu mtu kama huyu analalamika hali ngumu mshahara hautoshi wakati pesa inaishia kwenye bando
 
Huyu kapania aisee. Halafu utakuta zote hizo hakuna hata moja ya mchongo wa pesa.
 
Reactions: ydn
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…