Bado haujasema sababu kuna sababu kuu na sababu ndogo ndogo wewe unaeleza sababu ndogo nataka uelezee sababu kuu, unajua ni sawa na mto na vijito kila mto una vijito sasa wewe baada uelezee mto unaelezea kijito nataka sababu kuu, jambo lolote linapotokea halitokei hivi hivi sawa ametoka huko kwenye ulimwengu wa Siri (tuseme ni ulimwengu wa Giza) akaja kwenye ulimwengu huu tunaoishi (tuseme ni ulimwengu wa Nuru)Sababu si-nimesha kueleza kuwa jini Anakuwa amekupenda Anataka umuoe unataka sababu ipi tena !?
Ukiona mtu ana fuatwa na jini mahaba sababu kuu huwa ni huyo Jini kutaka mahusiano na Mtu huyo Nasio kingine , Ndio maana anaitwa jini mahaba
Babu bado hujamaliza hapo kuna maelezo hujayasema sababu kuu ni ipi? Au haujui km haujui sema sijui basi ijulikane na wewe ndio wale wale kamba tu kamba
🚮🚮Babu bado hujamaliza hapo kuna maelezo hujayasema sababu kuu ni ipi? Au haujui km haujui sema sijui basi ijulikane na wewe ndio wale wale kamba tu kamba
mfupa saga na nyundo, hainaga kukwamaAsanteh mkuu hayo mazaga unayo uniuzie maana kupata mfupa wa nguriwe uliosagwa mtihani kidgo
Umeshindwa? Maana njia ya muongo ni fupi sana ukimuongezea njia hafiki popote lazima apotee
Soma ufungue maarifa ya ubongo
Sipo hapa kwaajili ya kubishana na Mtu Ndiye nijuaye How I'm living my life , pia sipo hapa kwaajili ya kukufanya wewe uniamini cause uniamini au usiniamini there's nothing I can earn , So Tuchukulie kuwa ni uongo nilikuwa Nina danganya . Happy now !?Umeshindwa? Maana njia ya muongo ni fupi sana ukimuongezea njia hafiki popote lazima apotee
Soma ubongo wako ufunguke
Mimi ninayaishi hayo maisha Acha ujinga wewe 😁😁Soma ubongo wako ufunguke
Jinns their fate in the Hereafter and why they possess humans
Explore the fascinating world of Jinns and their fate in the Hereafter. This comprehensive resource delves into the belief that Jinns, created by Allaah to worship Him, face consequences similar to humans: obedient Jinns may enter Paradise, while disobedient ones face Hell. Gain insights into...islamweb.net
Sasa ndugu kwanini hufunguki wewe umejifungia unaulizwa eleza sababu kuu unaeleza sababu ndogo, ntakupa mfano wewe ukimuona mwanamke kuna sababu kuu inayokufanya uvutiwe nae na pia kuna sababu ndogo ndogo zinazoelekea kwenye ile sababu kuu, sasa nimekuuliza eleza sababu kuu unanieleza sababu ndogo mengine unayaficha na ile sababu kuu hauielezei, hivi unafikiri sijui km unaficha maana kuna mawili ima unaficha au unasema uongo kwa hio huna njia ya kutokeaSipo hapa kwaajili ya kubishana na Mtu Ndiye nijuaye How I'm living my life , pia sipo hapa kwaajili ya kukufanya wewe uniamini cause uniamini au usiniamini there's nothing I can earn , So Tuchukulie kuwa ni uongo nilikuwa Nina danganya . Happy now !?
Sasa km unayaishi mboni hauelezi unachoulizwa au umeambiwa iwe Siri yako ni moja ya masharti uliyopewa na huyo Jinn na mganga wako?Mimi ninayaishi hayo maisha Acha ujinga wewe 😁😁
Unaniletea theory wakati Mimi nikitu ambacho Nina kiishi in physical, Wewe kweli Thomaso achana na hizo conspiracy
Sawa conspiracy za dini unayoiishi sasa soma na hiiMimi ninayaishi hayo maisha Acha ujinga wewe 😁😁
Unaniletea theory wakati Mimi nikitu ambacho Nina kiishi in physical, Wewe kweli Thomaso achana na hizo conspiracy
Soma na hii conspiracy theory ya dini unayoiishiMimi ninayaishi hayo maisha Acha ujinga wewe 😁😁
Unaniletea theory wakati Mimi nikitu ambacho Nina kiishi in physical, Wewe kweli Thomaso achana na hizo conspiracy
Tomaso nakuongezea maarifa soma na hii conspiracy theory ya dini unayoiishiMimi ninayaishi hayo maisha Acha ujinga wewe 😁😁
Unaniletea theory wakati Mimi nikitu ambacho Nina kiishi in physical, Wewe kweli Thomaso achana na hizo conspiracy
SomaMimi ninayaishi hayo maisha Acha ujinga wewe 😁😁

Soma ongeza maarifaMimi ninayaishi hayo maisha Acha ujinga wewe 😁😁