Kwamfano mimi, huo ndio hata ugonjwa na maradhi yangu...[emoji39] [emoji39] [emoji39][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ivo vitambi haviwakati stimu?
Bado aijaoa mkuu, labda ukuje piem tuyajengage...[emoji39] [emoji39] [emoji39][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwaiyo mkeo alipiga picha za aina gani wakati wa ujauzito wake?
Kimsingi waafrika wengi hupenda kuiga wavionavyo kwenye tv na laptop zao pale wanapo google mambo ya huko nje.kwa mfano kwa mzungu au mtu yeyote aliyezaliwa ulaya huko kusiko na maadili ya kiAfrca hua hawaoni shida hata kuogelea na mama mkwe/B.mkwe.sasa hizo picha za uchi uchi wao haziwapi tabu,kitu ambacho ni kigumu sana huku kwetu kutunza picha ya hivyo alafu mtoto aje aone utupu wa mama yake akikua.mtu mweupe amesha tuvuruga kupita kiasi,mimi mke wangu nikimkuta kapiga picha ya hivyo kwanza kabla ya yote nitamfyonza na kifyonzo chake hatakisahau mpaka siku anaenda kaburini.tujaribu kubadilika na hizi shule za kisasa na utandawazi zisibadilishe sana maadili yetuNakuna hawa ambao huacha sehemu kubwa ya miili yao ,wanapendeza japokuwa sio sawa kimaadili na kwa mtoto wao alieko tumbon,akikua atakuja kuona picha ya mama yake wakati kambeba alikuaje
View attachment 963276View attachment 963277View attachment 963278View attachment 963280View attachment 963279View attachment 963281
Nimeolewa kuchepuka sitak mie..
Nicje nikamkimbia mume bure kwa kosa la kuonja onja vya watu
Wenye adabu ndogo, najua watazitumia hizi pic kumalizia mgalala...[emoji23] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sio kweli mkuu, minipo huku kaskazini/Mashariki mwa TanzaniaLazima utakuwa unatokea kanda ya ziwa..hili neno tuanlitumia Wajita.wasukuma n.k
ππππ et kifyonzo....aisee!!KimsingiKimsingi waafrika wengi hupenda kuiga wavionavyo kwenye tv na laptop zao pale wanapo google mambo ya huko nje.kwa mfano kwa mzungu au mtu yeyote aliyezaliwa ulaya huko kusiko na maadili ya kiAfrca hua hawaoni shida hata kuogelea na mama mkwe/B.mkwe.sasa hizo picha za uchi uchi wao haziwapi tabu,kitu ambacho ni kigumu sana huku kwetu kutunza picha ya hivyo alafu mtoto aje aone utupu wa mama yake akikua.mtu mweupe amesha tuvuruga kupita kiasi,mimi mke wangu nikimkuta kapiga picha ya hivyo kwanza kabla ya yote nitamfyonza na kifyonzo chake hatakisahau mpaka siku anaenda kaburini.tujaribu kubadilika na hizi shule za kisasa na utandawazi zisibadilishe sana maadili yetu