Materials zinazotumika kutengeneza ozone layer ni zipi hizo???

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
4,181
Reaction score
6,214
Jibu ni greenhouse gases ndo raw material zilizotumika kutengenezea ozone layer hii ya dunia na hata za sayari nyingine
Greenhouse gases zinazotumika kutengeneza ozone layer za sayari tofauti tofauti ni kama zifuatazo;-
  • Carbon dioxide
  • Methane
  • Nitrous gases
  • Fluorinated gases
Nikiwa Rais wa Tanzania kutatengenezwa ozone layer hapa Tanzania kwa kutumia greenhouse gases na kwenda kupandwa kwenye sayari nyingine

Tuko pamoja mr president ila tutaomba katiba mpya kwanza kabla hatujaanza kilimo cha ozone layer kwenye sayari nyingine
 
Ni material zipi hizo zinazotumika kutengenezea ozone layer mfano wa hii ya dunia hili ndo swali ambalo wewe unajiluza bila majibu

Jibu ni greenhouse gases ndo raw material zilizotumika kutengenezea ozone layer hii ya dunia na hata za sayari nyingine

Nikiwa Rais wa Tanzania kutatengenezwa ozone layer hapa Tanzania kwa kutumia greenhouse gases na kwenda kupandwa kwenye sayari nyingine

View attachment 3385614
Dogo ingekuwa vema ujishughulishe na kilimo cha bustani mbogamboga hapo uwani Kwa shemeji/mume wa dada yako, ukijiandaa Saa 9 alasiri kwenda kamchukua junior EM.

C'mon get that weirdass moving!
 
Akiingia ikilu itabid uhame nchi mkuu ,uvccm wake watakuandama balaa bora ufute hii koment
 
Ozone layer is solely consists of a material made of 3 oxygen atoms bonded together forming a moecule called Ozone (03). In a nutshell, ozone layer is made up of ozone molecules.

The greenhouse gases deplete ozone layer.
 
Ni material zipi hizo zinazotumika kutengenezea ozone layer mfano wa hii ya dunia hili ndo swali ambalo wewe unajiluza bila majibu

Jibu ni greenhouse gases ndo raw material zilizotumika kutengenezea ozone layer hii ya dunia na hata za sayari nyingine

Nikiwa Rais wa Tanzania kutatengenezwa ozone layer hapa Tanzania kwa kutumia greenhouse gases na kwenda kupandwa kwenye sayari nyingine

View attachment 3385614
Ozone (O³) ni isotope ya oxygen inayotengeneza ozone layer. Sasa greenhouse gases zinahusika vipi hapo?
 
Eee? Eeee?

Katika haya maisha, kama hali yako ya kiuchumi ni ndogo, hakikisha unamuomba MUNGU akupe mtoto mwenye iq ya kati, akiwa na iq kubwa na hauwez kumuendeleza, matatzo yake ndo haya
 
Kuna lingine umesahau
 
Ozone layer is solely consists of a material made of 3 oxygen atoms bonded together forming a moecule called Ozone (03). In a nutshell, ozone layer is made up of ozone molecules.

The greenhouse gases deplete ozone layer.
Alinishangaza sana hapo muheshimiwa rais ajaye tunajua kabisa greenhouse inavyoathili ozone layer au ndio vile anasemaga elimu yetu imechezewa
 
Back
Top Bottom