Kuna jambo huwa linanifurahisha hapa JF,
Ninachaoamini, wanawake wanajijua kuwa I am ugly/beautiful,
ANGALIA AVATAR ZAO,
sijawahi kuona ki poly!
Week end njema waungwana.
Unatakiw kusoma terms and condition kabla huja upload picha vinginevyo itakula kwako. Pia una uwezo wa kuongeza privacy katika vitu kama hivi.
Cku hizi unapoangalia picha fbuk kuna link ya download... wat does it mean?
picha ilivyotoka na yeye mwenyewe ukikutana utakimbia alivoyo mbaya,nilivyomuona kwa picha moyo ulinienda mbio kweli lakini kukutana nae kitaa sikuamini kama ni yeye kweli,au ndio karo lite imeanza ku-expire?