Material Wife

Biohazard

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2011
Posts
2,197
Reaction score
1,471
Ukikutana naye na hiyo pamba ya kiismula unaweza ukatangaza ndoa sekunde hiyo hiyo. Ama kweli wanaume tuna kazi kubwa sana kwenye selection. View attachment 37199
 
what is the point here....?
 
Bado tunaomboleza bana. Hivi vitu ungevisubirisha maombolezo yapite lasivyo smz itasusia rambirambi yako naya jf.
<br />
<br />
 
just apearance inashawishi ila when ukidondoka ktk nuru hutataman kurudi am telin u mavi2 ya kujiachia namna hii wapo very sour
 
Mbona rahisi tu ndugu yangu, kama umependezewa na mvao wa mwanzo si utam-guide tu siku akitoka amepigilia cha pili unamwambia kuwa hakikubariki? Kama mnaongea lugha moja atakusikiliza lakini kama you were not meant to be together ndio utayajua hapo.
 
hapo red umesema kweli....... Mna kazi kubwa.....mhhhhh!!!!

hapana kama huko makini na home work zako hii ni kazi ndogo
kwa wapi na wapi kukutana na mwanamke tu umempiga ndoa
hayo sio matatizo ya akili kweli?
 
Bado tunaomboleza bana. Hivi vitu ungevisubirisha maombolezo yapite lasivyo smz itasusia rambirambi yako naya jf.

Ni mkali lkn ila hajiamini. Kapiga karorite. Pepsi zimemsariti. Je mchina atakosa hapo!
 
Mbona rahisi tu ndugu yangu, kama umependezewa na mvao wa mwanzo si utam-guide tu siku akitoka amepigilia cha pili unamwambia kuwa hakikubariki? Kama mnaongea lugha moja atakusikiliza lakini kama you were not meant to be together ndio utayajua hapo.
kwa sie tunaokurupuka kuoa mapema, unaweza ukafanya misjudgement
 
Mbona viwiko vya mikono aka vipepsi ni vyeusi tii? Ni sugu au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…