Wanataka mwenye uzoefu gani hebu tupia tangazo hapa tutume Cv,Kuna rafiki yangu ni mchina alikua anataka mtu aliyesomea Material Engineering, changamoto imekuja ni kwamba hakuna mtu hata mmoja aliyetuma CV , na ni we week imepita tokea tangazo litoke.
Swali langu ni mmoja inamaana hiyo program haifundishwi kwa hapa Tz na kama haifundishwi ni watu walio soma program gani wanaweza fanya kazi kama material engineer?
But kama kuna mtu kasomea Material engineer hata kama ni nje ya nchi tuwasiliane mara mmoja nimuunganishe na huyo mchina, sehem ya kazi ni Dodoma.
Nimeamua ku share hii opportunity na watu wa hapa Jf maana, juzi nilikua na shida member wa JF wakanisaidia sana.
View attachment 1461299View attachment 1461302View attachment 1461304
weka contact au Company Adress, mkuu tuwasiliane...Kuna rafiki yangu ni mchina alikuwa anataka mtu aliyesomea Material Engineering, changamoto imekuja ni kwamba hakuna mtu hata mmoja aliyetuma CV , na ni we week imepita tokea tangazo litoke.
Swali langu ni mmoja inamaana hiyo program haifundishwi kwa hapa Tanzania na kama haifundishwi ni watu walio soma program gani wanaweza fanya kazi kama material engineer?
But kama kuna mtu kasomea Material engineer hata kama ni nje ya nchi tuwasiliane mara mmoja nimuunganishe na huyo mchina, sehemu ya kazi ni Dodoma.
Nimeamua ku share hii opportunity na watu wa hapa Jf maana, juzi nilikua na shida member wa JF wakanisaidia sana.
View attachment 1461299View attachment 1461302View attachment 1461304
Hapo ndo watz tunafeli..weka contact au Company Adress, mkuu tuwasiliane...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii ndio Bongo kaka,kila mahali watu wanaingiza ukanjanja.Hapo ndo watz tunafeli..
Mtu ana fursa, kaitangaza hataki kuweka wazi mawasiliano na client..anataka upitie kwake akuunganishe na mchina.
Kama kweli una nia ya kusaidis, weka details kila mwenye sifa atume applications zake eventually mchins atapata mtu sasa ukianza habari za njoo inbox nikuunganishe si ndo unaanza habari za ten percent ukipata mshahara wako wa kwanza.
Na watakuja watu mia tatu inbox..je uta manage wote???