Matendo ya wanyama yenye kustaajabisha

Kumbe ni swala la uumbaji........mi nilijua tunatakiwa tuige mfano wa good manners.........kutoka kwa wanyama.........kama mifano uliyotoa.........
hicho unachokitaka ww ni beyond na lengo la uumbaji wake!
 

ur a great thinker coz umerekebisha kistaarabu sn tofaut na wengne wangetoa povu
 
Last edited by a moderator:
ur a great thinker coz umerekebisha kistaarabu sn tofaut na wengne wangetoa povu
Nitoe povu mtaani,nitoe povu kwenye viwanja vya mpira (kama juzi nigeria walivyofungwa) halafu tena nitoe
povu hapa JF? Hapana Manselly, naogopa kuugua ugonjwa mbaya!
 
Last edited by a moderator:
pia bwana slim5 kuna tabia hii ya simba inaitwa "infanticides" yaani simba dume anapofika kwa jike ambae amempenda wakikubaliana kimahaba kama jike atakua na watoto basi simba dume huwala na kuanzisha famiia nyingine mpya.
lakini tabia hii ipo pia kwa fisi inaitwa "siblicides" yaani fisi dume kula watoto wa fisi jike aliozaa na dume mwengine kwa hyo simba na fisi wanatabia kitaalam inaitwa "cannibalism" yani wanakulana wenyewe kwa wenyewe ingawa hii ni kati ya adult male na youngs pekee.
 
Hao wanyama unasema wana akili kuliko binadamu at the end binadamu ndo anayewatawala. binadamu hana nguvu za kuua tembo ila amatengeneza kifaa cha kuweza kumuua tembo kiitwacho bunduki.Kusema mnyama ana akili kuliko binadamu hiyo ni kufuru. Ndo ni matusi kumuambia mtu ana akili kama za mnyama. Mnyama hana reasoning kabisa anaishi kwa insticts kama alivyosemammoja wa wadau hapo juu ndo maana anaweza akajamiana na mama yake. Binadamu amabaye anajamiana na mama yake anafananishwa na mnyama. Hujiulizi kwanini? Nenda kajipange tena uje na thread ya maana. Jengaa taifa acha ulalamishi
 
Nimeishia kucheka tu aiseee ila include na hii fact kwamba, Buffalo hufanya mating kwa four hours tofauti na mwanadamu ambaye within thirty minutes ameshachoka, hivyo Bufallo huridhishana zaidi kuliko binadamu
 
Kuna tofauti katika ''kustaajabisha'' na ''kuwa na akili'' nakubali wanyama wanastaajabisha ila napinga kuwa wana akili kuliko binadamu. Surely you need to know the brain and intelligence, The human brain has the same general structure as the brains of other mammals, but has a more developed cortex than any other. Large animals such as whales and elephants have larger brains in absolute terms, but when measured using the encephalization quotient which compensates for body size, the human brain is almost twice as large as the brain of the bottlenose dolphin, and three times as large as the brain of a chimpanzee. Mice have a direct brain/body size ratio similar to humans (1/40), while elephants have a comparatively small brain/body size (1/560), despite being quite intelligent animals. all in all, we can still define intelligence and tell that human is far better than animals. Intelligence has been defined in many different ways such as in terms of one's capacity for logic, abstract thought,understanding, self wareness, communication, learning, emotional knowledge, memory, planning, creativity and problem solving. All that can not be handled wisely by animals. Kwahiyo wanyama kwa binadamu ni kama hawana akili tu. Ila siyo wanadamu wote wanaweza kutumia akili zao vizuri. Wanadamu wengine wanajua kibaya na chema lakini wanachagua kibaya nayo ni matumizi ya akili.
 

Na huko ndio kuuma na kupuliza, muumba wake alimuumba hivyo ili afanikishe malengo yake.
 

Kuna baadhi ya wanyama wanafikiri....
Aina za nyani anaweza kutumia zana kufanikisha mambo yao...
Kuna aina ya kunguru wanachukua matunda magumu na kuyadondosha barabarani ili magari yanapokanyaga yasaidie kupasua...
 
binadamu pale pa kutolea choo yeye ndio anaingiza hapo nanii hii wakati wanyama hawafanyi hivyo
hahaha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…