Matendo ya wanyama yenye kustaajabisha

Matendo ya wanyama yenye kustaajabisha

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
28,374
Reaction score
38,248
SOMETIME ANIMALS ARE CLEVER THAN HUMAN BEINGS! CHECK OUT THESE CASES!
1. SIMBA HUMFUKUZA MNYAMA WAKIWA PARALLEL ILI KUPUNGUZA UMBALI BAINA YAKE NA ANAEMFUKUZA (hapa SIMBA ana akili kuliko BINADAMU na hususani wakati kumfukuza mwizi)

2. FISI NDO KIUMBE PEKEE DUNIANI MWENYE MAZIWA YENYE 100% CALCIUM, 7BU NI KUWA YY HULA MIFUPA! (hapa napo FISI ana akili kuliko BINADAMU mpenda vilaini, visivo na umuhimu wowote ktk mwili!)

3. PANYA YEYE HUUMA NA KUPULIZA (PANYA ana akili kuliko MAFISADI wasiojua kupulizia, daah nimekumbuka IPTL, richmond, UDA, hii nchi hii)

4. TEMBO ndio mnyama ambae namna yake ya kula inamruhusu kupitisha chakula puani, (hapa TEMBO ana akili kuliko binadamu ambao wameupa mdomo kazi ya ziada ambayo nitaitaja baadae nikirudi!)

5. TWIGA HULA MAJANI YA JUU KABISA KTK MTI (hapa TWIGA ana akili kuliko MAFATAKI wote duniani wanaokula mpaka vifaranga!)

6. TEMBO HUMKATISHA MWANAE KUNYONYA MARA MTOTO HUYO ANAPOANZA KUOTA PEMBE, ZILE PEMBE HUMUUMIZA MAMAKE WKT WA KUNYONYA! (hapa napo TEMBO ana akili, maduu wa kibongo hawanyonyeshi ili matiti yazidi kusimama straight na kuendelea kuwavutia wanaume!)

7. WANYAMA WOTE HUFANYA TENDO LA NDO KM A REPRODUCTIVE PROCESS (wanyama wana akili, wanajua starehe ziko nyingi, bninadam tendo hilo kn wkt si tu starehe bali ni biashara)

8. TEMBO ANA UWEZO WA KUANGUSHA MITI MIKUBWA HADI MI4 KWA SIKU, LKN HAFANYI HIVO, ANATUNZA MAZINGIRA! (vp binadam hawaishi porini lakini ndo wanaongoza kwa uharibifu wa mazingira, bado tembo ana akili zaidi)

Nawauliza tena, mmeamka?
 
Nimeamka mkuu.

Nashukuru kwa thread yako maridhawa.
 
Mimi binafsi nimeamka salama slim5 namshukuru Mungu.
Umekusudia kutufikirisha asubuhi hii kwa kulinganisha matendo ya wanyama na yetu sisi binadamu.
Yote ulosema ni kweli ila kuna facts umezisahau, nazo ni:

Wanyama hufanya wanayofanya kwa kutumia in-built natural instinct. Kwa maneno mengine wanyama hawatumii
planned conscious thinking.
Hiyo namba tatu kuhusu panya ni misconception iliyoenea sana na ninataka nikuondoe kwenye hiyo dhana.
Pua ya panya iko juu ya midomo yake. Sasa anapotafuna kitu lazima apumue -kuvuta na kutoa hewa puani.
Kwa hiyo anapokutafuna vidole gumba hewa anayotoa akipumua inagusa kidole gumba na kukufanya ufikiri
kwamba anapuliza! Kwa nini apulize? Kwani anajua unapata maumivu?

Pia tembo hali kwa kuingiza chakula puani ila mdomoni.
Wataalamu wa wanyama hebu njooni msaidie.
 
Last edited by a moderator:

ahsante, nimeongeza kitu! unafahamu pua ya tembo ilipo?
 
Panya anapuliza mkuu, kwa nini sijui ila ndio hivyo!
 
Jamani huu uzi mbona umebadilishwa title? mi niliweka title ingine, uzi umekuja na title ingine!
 
ahsante, nimeongeza kitu! unafahamu pua ya tembo ilipo?
slim5, pua ya tembo ni huo mkonga wake. Anautumia kama mkono, pua ya kunusa hewa ili kujua
adui alipo.Chakula kinachukuliwa na mkonga na kuingizwa kinywani. Kinywa kipo chini ya shina la mkongo kichwani.
 
Last edited by a moderator:
Nimependa namba 4........nianzeje ili niweze kutumia hicho kiungo.........
Aiseeee...........tembo bana.......
 
slim5, pua ya tembo ni huo mkonga wake. Anautumia kama mkono, pua ya kunusa hewa ili kujua
adui alipo.Chakula kinachukuliwa na mkonga na kuingizwa kinywani. Kinywa kipo chini ya shina la mkongo kichwani.

hapana Mkuu, Tembo hupitisha Maji puani, then mdomoni! mkonga unamsaidia kuchota tu!
 
Jamani huu uzi mbona umebadilishwa title? mi niliweka title ingine, uzi umekuja na title ingine!

Moderators hao ht mi siwaelewi, mana mi pia majuzi niliweka uzi title ilikua herufi kubwa zote ulipotokea title ikawa ya herufi ndogo
 
Nimependa namba 4........nianzeje ili niweze kutumia hicho kiungo.........
Aiseeee...........tembo bana.......

Da Preta, bht mby hukuumbwa hivo!
 
Da Preta, bht mby hukuumbwa hivo!

Kumbe ni swala la uumbaji........mi nilijua tunatakiwa tuige mfano wa good manners.........kutoka kwa wanyama.........kama mifano uliyotoa.........
 
Sayansi inakataa kuhusu mnyama kua na akili.

akili ni nini?
Ubongo unahusika na akili? Binadamu ana 750gm za ubongo tembo kilo 9 wastani.

Simba hawezi kumuua fisi aliye muua binadamu, lakini binadamu anamuua binadamu mwenzake aliyeua swala, labda kuna ukweli wanyama wana akili.
 
hii imetulia ingawa kwa tembo yale ni meno sio pembe...pia kuna mnyama t.i.d hapendi masihara...rayC kaisoma namba...
 
Pompoo au Dolphin hausiki hapo kwenye namba 7.
 
Sifa nyingine ya Tembo ana uwezo wa kujua maji yalipo kwa umbali wa kilometer 3.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom