Yeah, Mpeleke kwa daktari.
Nawe mchangiaji unayesema it is impossible kupata mtoto mwenye matege ukifuata ushauri wa daktari umetoa wapi hiyo? Acha uzushi wako.
Mpaka nchi zilizoendelea hili laweza kutokea - kuna causes nyingi za matege ambazo huwezi kusema zimetokana na uzembe wa mzazi. Please kuwa na information (hata kwa ku-google) kabla ya kusema.