Mate kujaa mdomoni unapoongea..msaada

mr.sylvestre

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
252
298
Habari wakuu.NImekuwa nikisumbuliwa na tatizo la kujaa mate mdomoni,hali hii inanitisha make inafikia hatua nikiwa nazungumza inanibidi nitulie kwa muda ili nimeze hayo mate kwanza.Si mzungumzaji sana na sina tatizo lolote la kiafya
 
Kwani kujaa mate mdomoni ni ugonjwa? unataka mdom wako uwe mkavu kisha uje hapa utuambie jamani kwanini mdomo wangu mkavu? nenda hospitali kaangaliwe na Ma-Daktari.

Mkuu kwanza huyu mr.sylvestre angalikwenda hospitali kuangalia vizuri hapa tunatowa ushauri tu Huwezi kutowa tiba pasiop na kumuona mgonjwa asante kwa kuni Tag.
 
Last edited by a moderator:
Ukizungumza kwa siku unahisi ukiyakinga badala ya kuyameza unawezae Pata lita
Ngapi? Ila usiogope si wewe peke yako mwenye hilo tatizo hata bashite analo.tena yeye mate yanakuja na mikohozi ile ya njano kiyanga yanga
 
Back
Top Bottom