Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,558
- 31,968
Akiri ndio niniMichezaji ya simba haina akiri
mkuu Chekechea hujasomaAkiri ndio nini
Nina shahada kadhaamkuu Chekechea hujasoma
We jamaa🤣🤣🤣Simba ni kikundi cha karate.
Hakuna shida, kama red card zinaleta ushindi wa ugenini, basi ziendelee tu kutolewa ili mradi tupate ushindi.Hii nadhani ni record sijajua kama imewahi fikiwa hapo before. Na hii itaendelea kwa matches zote zilizobaki maana nyie Simba ndo mlitaka sana VAR sasa imekuja hii.... Lazima moto uwake.
Referee akienda tu kuangalia akirudi ni Kadi ya Simba. Yaani Kadi Nyekundu.
Hapa ulichoandika aibu nimeona mimi.Michezaji ya simba haina akiri