shila 68
JF-Expert Member
- Jul 11, 2026
- 826
- 1,653
Leo Simba sports club atakuwa nyumbani kumkaribisha Namungo fc mechi itaanza saa 19:00usiku
Ikumbukwe simba ndio kinara wa msisimamo akishinda leo atamuacha mpinzani wake arama 5
je Simba ataendeleza ubabe wake mbele ya namungo tukutane saa 1
SIMBA NGUVU MOJAA