Guys nauza mataulo makubwa ya kituruki jumla na rejareja maarufu Kama Hammam towels, unaweza kuangalia Amazon ama site yoyote online Bei na matumizi yake.
Mataulo haya yanakuwa na pande mbili, upande mmoja Ni taulo la kawaida na upande wa pili Ni plain unaweza ukavaa Kama kikoi ama saruni.
Zipo rangi Kama nyeupe, pink, grey inayotaka kufanania na nyeusi etc
Mataulo haya yanakuwa mepesi, yanakausha maji vizuri na pia yanakauka upesi, haya Ni baadhi ya matumizi yake
1. Kutumia Kama bath towel kwa kujifuta maji baada ya kuoga
2. Blanket la mtoto
3. Kikalio Cha picnic
4. Replacement ya khanga ama kitenge kwa kinamama
5. Kuvaa Kama scarf wakati wa baridi
6. Blanket la safarini kwenye treni ama Basi
7. Kujifunga kishingo shingo kwa kina mama
8. Kitambaa Cha kichwani kwa kina mama etc.
Bei Ni
Tsh 11,000 kwa reja reja na
Tsh 8,000 kwa jumla
contact
0623407171
Ku beep na tafadhali nipigie vinaruhusiwa.