Matatizo yaliyozoeleka

Matatizo yaliyozoeleka

creedfx

Senior Member
Joined
Jun 24, 2022
Posts
103
Reaction score
58
Ni shida ya vijana wengi wa Taifa langu pendwa la kwani watu tunasoma hadi elimu ya juu lakin bahati mbaya hatujui tunaenda soma nini baada ya kuhitimu sana sana kwa masomo mageni kama economics accountancy na masomo mengine ambayo ndo tunatakuta elimu ya juu

Dah kwa bahati mbaya huu mtego haujajiacha salama nimejaribu kusoma literature review nikapata majina ya kozi nyingi sana na vyuo ila mpaka sasa sijui kozi ipi niisome

Kwanza niehitimu kwenye tahasusi ya EGM na napenda sana masuala ya odditing bank na industry work ila sijui kozi gani itanisaidia kufika huko ninapo patamani

Naombeni msaada wa ushauri hata kama ni kwa njia ya maswali itapendeza


Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom