Matatizo ya UTI wa mgongo

MLogi

New Member
Joined
Sep 2, 2025
Posts
4
Reaction score
5
Habari wanaJF!!

WanaJF kuna kijana anasumbuliwa na matatizo ya UTI wa mgongo anaomba msaada , yeye ni wakitandani tu mwenye chochote alichojaliwa amsaidie kwa aajili ya matibabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…