matatizo ya ujauzito

mareche

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
471
95
wadau ambao ni wakongwe kwenye haya kuna mke wa jamaa yangu anajisikia vibaya kila siku kama kutapika kuumwa tumbo kutokupenda kula nk anaujauzito wa miezi minne na pia nidawa gani anayotakiwa kutumia anapokuwa katika hli hiyo nawakilisha
 
Hilo la kutapika na kupoteza appetite yaweza kuwa ni matokeo ya hormones, kama ujauzito wake ndivyo ulivyo basi ataendelea hivyo mpaka mwili wake utakapoamua kubadilika.
Ila hilo la kuumwa tumbo ningeshauri akamwone daktari wa wakina mama. Kuumwa tumbo wakati wa ujauzito kunaweza kukawa kunaashiria hatari kwa afya ya mama na mtoto.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom