Matatizo ya St. Joseph Arusha campus

Matatizo ya St. Joseph Arusha campus

we serotherapy nataman sn uwe unasoma udsm lkn sitaman hata kidogo uwe unasomea ualimu, hua wa2 wa dizain kama zenu za kutumia mda mwng kusifia chuo hua hamfundish na co wote ila wa dizain ka yako, nataman uwe unasomea PSPA ili baada ya kumalza mwaka wa 3 tukutane tena huku jf, FUNZO: USIMUONGELEE VIBAYA MTU MWENYE TATZO UNAPASWA KUMFARIJI, shame'on u

Hahahahahh nimekusomaa nduguuu siwezi kusoma course za wanawake PSPA ndo ninii we mwanaume course ganii unasoma alafuu angalia na maisha ya kwenu sio unasoma tuu bora hata uyoo mwalimu mwenye marks ndogo za st joseph atapata ajira shame on you hahahahahhhau
 
PSPA ni course ya watoto wa kike tena wale wazuuuuuuuuriiiiii ili akienda ofisin kuomba kazi bosi achanganyikiwe hatimaye kupewa kazi sasa wew lijitu nani atakupa kazi hahahahahaha ila kweny huu Uzi umewajambisha vijana balaaa hadi usiku nahisi wanakuota aiseeee
 
Back
Top Bottom