Simbamteme JF-Expert Member Joined Sep 10, 2011 Posts 808 Reaction score 2,170 Nov 24, 2015 #1 Nilisoma post ya mdau mmoja kuhusu kuroot simu. Nimejaribu kuroot simu yangu samsung galaxy s3 neo na ikashindikana. Tatizo ni kuwa adds zimekuwa nyingi mpaka zinakera, sasa kwa anaejua anisaidie nifanyaje niirudishe kwenye hali yake ya awali?
Nilisoma post ya mdau mmoja kuhusu kuroot simu. Nimejaribu kuroot simu yangu samsung galaxy s3 neo na ikashindikana. Tatizo ni kuwa adds zimekuwa nyingi mpaka zinakera, sasa kwa anaejua anisaidie nifanyaje niirudishe kwenye hali yake ya awali?
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,254 Reaction score 44,363 Nov 24, 2015 #2 hizo ads zinatokea ukiwa unafanya nini?
Singida ndio home JF-Expert Member Joined Feb 23, 2012 Posts 3,188 Reaction score 3,379 Nov 24, 2015 #3 nahisi una lundo la apps humo hebu nipe list
Simbamteme JF-Expert Member Joined Sep 10, 2011 Posts 808 Reaction score 2,170 Nov 24, 2015 Thread starter #4 kweli nna lundo la apps lkn mwanzon adds hazkuwa hv...zmeongezeka...kila apps nnayo fungua lzm adds zije...ht nkiingia whatsup lzm zije...ht nikitaka kupiga cmu lzm zije...lkn mwanzon haikuwa hvy
kweli nna lundo la apps lkn mwanzon adds hazkuwa hv...zmeongezeka...kila apps nnayo fungua lzm adds zije...ht nkiingia whatsup lzm zije...ht nikitaka kupiga cmu lzm zije...lkn mwanzon haikuwa hvy