Matatizo ya Mshono wa Njia ya uzazi


247

247

Senior Member
Joined
Mar 29, 2016
Messages
195
Likes
195
Points
60
247

247

Senior Member
Joined Mar 29, 2016
195 195 60
Habari wana Jf

Kuna mschana alijifungua akiwa na umri mdogo kwahiyo alifanyiwa operation kwenye njia ya kizazi ili mtoto apite (Episiotomy)

Sasa tatizo ni kwamba analalamika sehemu zake za siri zinavuta sana kwa ndani
sana sana wakati wa baridi.

Jinsi gani anaweza solve hili tatizo?
 
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Messages
31,005
Likes
6,458
Points
280
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2011
31,005 6,458 280
Shkamoo kushonwa loh

Arudi hospitali sio normal kuuma
 

Forum statistics

Threads 1,274,855
Members 490,833
Posts 30,526,000