Sio kupotoshana unatakaiwa uwe muelewa kuna baadhi ya gari ni nzuri sana ila mazingira yetu hapa ndio yanatufanya tuyaone mabaya hiyo gdi ni gari nzuri na kuna zile gar za toyota zina engine za D4 pia ni gari nzuri sana isipokuwa mazingira yetu,,kwanza petrol station nying mafuta yao hayana ubora,,ukija kwenye oil nyingi ni feki na hizo engine hazitak hayo mambo ,,na ukuthubutu tu ukaweka mafuta mabaya au oil ambayo haiko starndad kwenye hizo engine bhas utamtafuta mchawi aliyeiroga gari yako,,sasa kwann umshaur mtu kumiliki gar la hivyo,,si bora uchukue tu haya ma 5A,4E,3s ambayo yenyewe yanavumilia shida