ankol JF-Expert Member Joined Aug 21, 2012 Posts 2,724 Reaction score 5,288 Oct 3, 2018 #1 Habari zenu wandugu, Jino langu la mwisho la chini limekua likiuma pale ninapokula ama kunywa vitu vya moto ama baridi, Nahisi ni ishara mbaya huenda likauma zaidi. Naomba mwenye kujua anijuze kitu gani ama dawa gani nitumie ili lisije kuuma zaidi.
Habari zenu wandugu, Jino langu la mwisho la chini limekua likiuma pale ninapokula ama kunywa vitu vya moto ama baridi, Nahisi ni ishara mbaya huenda likauma zaidi. Naomba mwenye kujua anijuze kitu gani ama dawa gani nitumie ili lisije kuuma zaidi.
Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,958 Reaction score 70,721 Oct 3, 2018 #2 fanyia root canal
ankol JF-Expert Member Joined Aug 21, 2012 Posts 2,724 Reaction score 5,288 Oct 3, 2018 Thread starter #3 manengelo said: fanyia root canal Click to expand... Ndio kitu gani hicho, Naweza fanyia wapi?
mtongwe JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 1,659 Reaction score 4,485 Oct 3, 2018 #4 ankol said: Ndio kitu gani hicho, Naweza fanyia wapi? Click to expand... Ni kuua mishipa inayounganisha jino na fizi, hospital nyingi hufanya hivyo
ankol said: Ndio kitu gani hicho, Naweza fanyia wapi? Click to expand... Ni kuua mishipa inayounganisha jino na fizi, hospital nyingi hufanya hivyo
Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,958 Reaction score 70,721 Oct 3, 2018 #5 ankol said: Ndio kitu gani hicho, Naweza fanyia wapi? Click to expand... huko huko hosp ...wanaua mishipa ya meno so jino halitakuuma wala kumomonyoka tenaa!had tunakupeleka kola makaburini😎
ankol said: Ndio kitu gani hicho, Naweza fanyia wapi? Click to expand... huko huko hosp ...wanaua mishipa ya meno so jino halitakuuma wala kumomonyoka tenaa!had tunakupeleka kola makaburini😎
Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,958 Reaction score 70,721 Oct 3, 2018 #6 mtongwe said: Ni kuua mishipa inayounganisha jino na fizi, hospital nyingi hufanya hivyo Click to expand... yes
mtongwe said: Ni kuua mishipa inayounganisha jino na fizi, hospital nyingi hufanya hivyo Click to expand... yes
Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,958 Reaction score 70,721 Oct 3, 2018 #7 ankol said: Ndio kitu gani hicho, Naweza fanyia wapi? Click to expand... ila kidg expensive..
Tychob JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 4,238 Reaction score 5,647 Nov 13, 2018 #8 manengelo said: ila kidg expensive.. Click to expand... Roughly estimation ni sh ngapi hii kitu?
Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,958 Reaction score 70,721 Nov 13, 2018 #9 Tychob said: Roughly estimation ni sh ngapi hii kitu? Click to expand... laki 1