baba havijawa
Member
- Mar 22, 2013
- 5
- 0
maisha ni mizunguko na yenye changamoto nyingi, hususani katika masuala ya mapenzi, kila mtu katika mapenzi lazima akutane nayo,
zamani nilidhani wengi wanaokutana na matatizo ktk mapenzi ni wale wasiokuwa na hela au masikini. la hasha mapenzi yanaliza class zote zote matajiri na masikini. hata uwe na pesa vipi huwez kununua upendo kwa mtu. unaweza kuwa na msichana au na mwanaume yeyote kwa pesa zako but huwezi kuwa na hisia zake. na kufanya mapenzi nae ickudanganye ndo umeweza kumshika hisia zake, kwani mnaweza kufanya mapenzi tu but still asiwe na hisia na wewe. wakati mwingine jinsi unavyoweza kutatua matatizo ya mapenzi ndo inakufanya uwe stable na kutotingishwa na mambo mengi. most of people think that whenever they face challenges in their relationship the only is to break up and start new relationship something which way to solve it. ukifanya hivi utakuwa mtu wa kutumiwa na kuachwa muda wote.