habari zenu jamani..
Mwenzenu muda si mrefu nimepatwa hali ya kuumwa tumbo maeneo ya kitovu,
kama vile kitovu kinavuta kwa ndani
halafu nakua kama kuna kisu kinanichana tumboni,
au kitu cha ncha kali kinanikwangua
Baada ya hapo najiskia mwili mchovu
na mikono na miguu imekua kama nmebondwa bondwa
kichwa kimekua kizito..
hata sielewi nna tatizo gani....?
kwa anaejua jamani