Matatizo ya hedhi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matatizo ya hedhi

Discussion in 'JF Doctor' started by Mwanantala, Mar 6, 2012.

 1. M

  Mwanantala Senior Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 120
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Heshima mbele madaktari wote! Naomba mwongozo wenu watblam wa afya ya uzazi wa kina mama. Usiku huu mamsapu yuko mp. Tatizo damu inatoka kama mkojo na anajisikia maumivu makali sana tumboni. Ametumia diclofenac kidonge kimoja lakini maumivu yako palepale. Kwa sasa ameanza kusikia baridi. Naweza kumpa kidonge cha pili ili kimsaidie usiku huu? Naomba ushauri wenu.
   
 2. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Pole sana mkuu,haya wataalam mwagen Elim isiyohitaj admission letter!
   
 3. JS

  JS JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kwani kwa kawaida huwa anatumia nini akipata maumivu??
   
 4. M

  Mwanantala Senior Member

  #4
  Mar 6, 2012
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 120
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Asante rana.
   
 5. M

  Mwanantala Senior Member

  #5
  Mar 6, 2012
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 120
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hutumia dawa hiyo hiyo na kipimo hicho hicho.
   
 6. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #6
  Mar 6, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  anakudekea tu huyo.kaona upo karibu....
   
 7. M

  Mwanantala Senior Member

  #7
  Mar 6, 2012
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 120
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Si kawaida yake. Naomba ushauri wako.
   
 8. JS

  JS JF-Expert Member

  #8
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Basi ningeshauri avumilie tu usimuongezee dose. besides yeye ndo anaujua mwili wake vizuri na ni kwa masaa machache tu ya mwanzoni maumivu yanakuwepo mpaka dawa ifanye kazi yatapungua. unless kama kanywa dawa muda mrefu (masaa 4 kabla) na bado maumivu anayasikia ndo aongeze dawa. mpe pole
   
 9. JS

  JS JF-Expert Member

  #9
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  pia nikupe trick labda inaeza msaidia mimi huwa na-monitor zikikaribia..yaani kwa mtu ambaye huwa anapatwa na maumivu haya kabla hazijaanza kuna vimaumivu vya mbali unavisikia kwa siku kadhaa. unavisikilizia mpaka pale unapoona leo au kesho siepuki unajinywea dawa zako mapema kwa hiyo maumivu yanapambana na dawa huko huko ndani. hakuna kusubiri mpaka zianze na maumivu juu ndo unywe labda kama huna dawa karibu na ndo maana kwenye mkoba wangu huwezi kosa dawa kwa ajili ya shuruba kama hizi. awe akimeza dawa mapema kabla hazijaanza au immediately zikishaanza.
   
 10. M

  Mwanantala Senior Member

  #10
  Mar 7, 2012
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 120
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Asante sana. Katulia kidogo. Usiku mwema.
   
 11. N

  NGORIKA Member

  #11
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mm naomba ufafanuzi zaidi maana mamaa yy anaumwa sana na huwa hata kama akitumia dawa za kutuliza maumivu kama Diclophenac anasema ni kama hazimsaidii kabisa. so anabaki kuyasikilizia maumivu hadi atakapotulia. naombeni msaada kwa hili.
   
Loading...